Bei / Pricing

Bei tunazokupa zinatokana na thamani na mazingira ya website, blog, app installation, deployment (ufundi), hii inahusisha ukubwa au udogo wa hosting server inayohitajika au domain (jina) la website kwa mwaka au miaka, pia huduma kama push sms (bulk sms), account za playstore na app store kama zitahitajika.

Bei zinaanzia Tzs 100,000/= piga simu kwa maulizo kuhusiana na aina ya website, blog, app unayohitaji, tunashauliana na kupeana ushauri bure , wewe ndio tajiri, karibu.


View Map

Huduma kwa mteja ni bure

  • Mafunzo - bure
  • Marekebisho - bure
  • Mengineyo

 
 
 
Wasiliana nasi


Call: +255 745 955 958

E-mail: info@tovutitech.com



Kwanini uwe na website / App?

(1)Kuwafikia wateja walio mbali

(2)Kuongeza soko

(3) kuongeza ufanisi

(4) kuongeza mauzo

(5) Kuongeza huduma kwa mteja.

Tupigie simu